Winga wa Manchester United, Antony Santos amefunguka juu ya tuhuma za kushambulia mpenzi wake wa zamani.
“Nilitaka kwenda kwake na kumwambia kuwa nilikuwa na majukumu na ilikuwa lazima niende, Yeye alichukua sahani na vikombe na kuvitupa chini, mimi nilimshika ili kumtuliza ila sikumdhuru.”
Winga wa Man United Atemwa Timu Ya Taifa Kisa Sakata la Mpenzi Wake
Global Publishers and General Enterprises Limited is a registered private company dealing in publishing of weekly Swahili newspapers in Tanzania, namely; Uwazi, Ijumaa, Championi, Amani, Risasi & Ijumaa Wikienda.