Dk. Mpango kukutana na mashirika yasiyo ya Kiserikali takribani 9,000

MAKAMU wa Rais Dkt, Philip Mpango anatarajia kuwa mgeni rasmi katika mkutano wa Jukwaa la Taifa la Mashirika yasiyo ya kiserikali linalotarajia kufanyika Oktoba 3 hadi 5, mwaka huu katika ukumbi wa Mkutano wa Jakaya Kikwete Dodoma ambapo mashirika takribani 9,000 yaliyopo chini ya mwamvuli wa baraza hilo yanatarajia kuwakilishwa katika mkutano huo.

Akizungumza jana jijini Dar es Salaam na waandishi wa habari, Afisa Mtendaji Mkuu NaCoNGO, Racheal Chagonja alisema mkutano huo huwa unafanyika kila mwaka, ambapo kwa mwaka huu jukwaa hilo, linatarajia kuanza Oktoba 3 hadi 5 huku washiriki zaidi ya 2,000 ambao ni wawakilishi wa mashirika hayo wanatarajia kushiriki mkutano huo.

Alisema lengo kuu la mkutano huo ni kuibua mijadala mbalimbali ikiwemo suala la fursa pamoja na kutatua changamoto zinazoendelea kuikumba sekta ya mashirika hayo ambayo sio ya kiserikali na kutafuta majawabu ya changamoto zao katika kurahisisha utendaji kazi.

”Mkutano huu unafanyika kila mwaka na huwa unatanguliwa na mikutano ya ngazi za mikoa ambapo mikutano hiyo inaibua mambo mbalimbali yanaletwa katika Jukwaa la Taifa na kujadiliwa kwa upana wake,” alisema na kuongeza

”Kupitia mkutano huu unaleta mabadiliko makubwa kwa yale yanayotakiwa kubadilika mfano katika masuala ya kisera, kiutendaji, maadili na namna ya mashirika kujisimamia yenyewe bila kutegemea fedha za wafadhili,” alisema.

Alisema katika mkutano huo utakaochukua takribani siku tatu, utakuwa na programu mbalimbali ikiwemo ya uwajibikaji wa mashirika yasiyo ya kiserikali kwa jamii ambapo watakuwa na zoezi la uchangiaji wa damu, upandaji miti pamoja na kwenda kutembelea Kituo cha watoto yatima cha Miyuni mkoani humo.

”Dhamira yetu kubwa katika uchangiaji damu ni kuangalia na kulinda afya ya mama na mtoto, tunaamini kuwa damu tutakayochangia itaweza kuchangiza watu kusaidia makundi hayo, mbali na hilo tutakuwa na zoezi la utoaji wa huduma za kisheria ambapo kama mwananchi yoyote mwenye shida ya kupata msaada wa kisheria tunamkaribisha kufika katika viwanja vya ukumbi huu na kuweza kusaidiwa,” alisema .

Alisema pia kupitia mkutano huo wataweza kuendesha mada mbalimbali Oktoba 4, 2023 ikiwemo kuangalia fursa za ndani na nje ya nchi za ufadhili wa mashirika yasiyo ya kiserikali ambapo watapata fursa ya kuangalia ni namna gani miaka michache ya nyuma imekuwa na upungufu wa fedha za wafadhili kwaajili ya kusaidia mashirika kufanya kazi zake.

”Hii imefanya mashirika mengi kukwama kutokana na kutegemea fedha hizi za wafadhili, tunaamini kwa kupitia mjadala huo tutaweza kuleta mawazo mapya namna gani tutaweza kutumia rasilimali za ndani kuhakikisha mashirika yanaendelea kupata ushirikiano katika kufanya kazi zake,”alisema na kuongeza

”Mada nyingine itaweza kuongelea Mifumo ya kisera na kisheria ya uratibu wa mashirika yasiyo ya kiserikali, ambapo tutaangalia fursa na changamoto za mifumo ya sheria ambazo zimekuwa vikwazo katika uratibu na utendaji wa mashirika hayo tangu sheria ya mashirika imeanzishwa miaka 23,” alisema.

Alisema eneo lingine wataweza kuangalia namna gani mashirika hayo yasiyo ya kiserikali kuwa na mikakati ya kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi ambapo yatapaswa kujiangalia wenyewe mashirika namna watakavyokabiliana na mabadiliko hayo kabla hawajapeleka miradi kwa wananchi.

”Ni lazima mashirika yawajibike kuchagiza maendeleo ya nchi katika kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi kwani mara nyingi tunapokea fedha za miradi hatujiangalii ndani wenyewe kwenye taasisi zetu namna tunavyoweza kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi na kisha kuyapeleka nje,”alisema.

Aidha alisema wataweza kuangalia namna gani teknolojia na ubunifu utakavyoweza kusaidia na ustawi wa mashirika.”Kwani siku hizi teknolojia imekuwa kipaumbele sana na kila kitu kimekuwa kidigitali hivyo tutaangalia teknolojia na ubunifu unaendana vipi na ukuaji wa sekta yao katika kuhakikisha wanafanya tafiti pamoja na data ambazo zinatija ili watu waelewe,”alisema.

Written by Janeth Jovin


Football news:

<!DOCTYPE html>
Kane on Tuchel: A wonderful man, full of ideas. Thomas in person says what he thinks
Zarema about Kuziaev's 350,000 euros a year in Le Havre: Translate it into rubles - it's not that little. It is commendable that he left
Aleksandr Mostovoy on Wendel: Two months of walking around in the middle of nowhere and then coming back and dragging the team - that's top level
Sheffield United have bought Euro U21 champion Archer from Aston Villa for £18.5million
Alexander Medvedev on SKA: Without Gazprom, there would be no Zenit titles. There is a winning wave in the city. The next victory in the Gagarin Cup will be in the spring
Smolnikov ended his career at the age of 35. He became the Russian champion three times with Zenit

17:45 Chino ataweza kuleta ushindani kwenye lebo za muziki zilizopo??
17:43 Chino atangaza kufunngua lebo na kusaini wasanii, kuingiza kwenye upinzani wa lebo Tanzania
17:43 Chino atangaza kufunngua lebo na kusaini wasanii
15:53 Hii Ndiyo Mikataba 8 ya Ushirikiano Iliyosainiwa Kati ya Tanzania na Zambia
15:49 Taasisi ya Lalji Foundation Yaendesha Kambi ya Macho, 100 Wafanyiwa Upasuaji
15:20 Rais wa Zambia Ashukuru Rais Samia Kuipa nchi hiyo hekta 20 za ardhi
15:20 Rais Samia Awapa Hekta 20 Zambia Kujenga Bandari, Atua Ikulu ya Lusaka (Video+Picha)
14:28 Sloti ya Book of Egypt Chimbo la Utajiri Meridianbet
10:15 Waziri Mavunde: Tanzania Iko Tayari Kushiriki Uchumi wa Madini Ya Bahari
10:14 Wateja wa Gas Fasta Sasa Kuagiza Gesi Kupitia Aplikesheni ya M-Pesa
8:12 Fahamu namna msikiti wa Al-Aqsa ulivyochochea mzozo wa Israel na Palestina
11:03 ACT Wazalendo wamteua Dk. Suleiman kugombea Uwakilishi Jimbo la Mtambwe
9:19 Bajeti Ya Serikali Ya Marekani Chupuchupu Kukwama – Yapata Idhini Ya Matumizi Ya Wiki Sita Tu
9:16 Kuna Maisha Baada Ya Kutendwa Soma Hapa Ujinasue!
8:59 Mwanamume Afariki Baada ya Nyangumi Kugonga Boti
8:52 Chama, Luis Wapewa Zigo Zito Kuiondosha Power Dyhamos
8:41 Rais Samia akitangaza Chuo cha Diplomasia sasa kuitwa Dk. Salim Ahmed Salim
8:33 NIT kuanza kufundisha walimu wa ufundi
8:22 Papa Francis awapandisha vyeo makasisi 21 kuwa makadinali
8:14 Breaking: Moto Mkubwa Unateketeza Majengo Na Maduka Kariakoo, Dar – Video
4:31 Mama Wa Mapacha Aliyekuwa Amezuiwa Hosptalini Arusha Alipiwa Bili – Video
21:04 Wananchi Geita wachangamkia uchunguzi wa saratani bure, wanawake wapewa neno
15:24 Shirika la Ndege la Rwandair Lamwaga Zawadi Kwa Wateja, Wadau Wa Tanzania
9:22 #Exclusive: Neema Chande Afichua Alivyotoka Kimapenzi Na Romy Jons Na Kuzaa – Video
8:00 Anayedaiwa Kumuua Tupac Mwaka 1996 Akamatwa na Polisi
7:14 Basi la magereza lagonga treni, mmoja afariki, 10 wajeruhiwa
7:08 Wema Sepetu ajutia kilichotokea katika sherehe ya birthday yake “Sitafanya tena birthday”
6:35 Inasikitisha! Mume Alinikimbia Nikiwa Na Mimba, Nikaanza Penzi Na Mume Wa Mtu – Video
5:20 Rais Samia Ateua na Kuridhia uteuzi wa Viongozi Mbalimbali
5:03 Ukiingia Kwenye Ndoa na Mwenye Sifa Hizi, Huwezi Kujuta!
4:57 Basi la Magereza Lagonga Treni Yenye Abiria 650 Dar
4:57 Basi la Magereza Lagonga Treni Ya Abiria Ukonga Dar, Yasababisha Kifo cha Mtu Mmoja
3:18 “Utalindwa Usiogope Kutoa Ushahidi” – Waziri Pindi Chana Akizindua Miongozo…
2:55 Putin na Rais wa Sudan Kusini Wafanya Mazungumzo Mjini Moscow
2:00 Mchungaji Mwakipesile Ahukumiwa Kifungo Cha Miaka Mitatu Jela
1:05 Manchester United Yatangaza Yamrejesha Antony Kuendelea na Mazoezi
22:13 NIT yatakiwa kukamilisha miradi yake kwa muda uliopangwa
21:10 Magari taasisi za umma, binafsi zatakiwa kufanyiwa ukaguzi NIT
20:15 Tanesco Ubungo yatakiwa kushughulia tatizo la kukosekana kwa umeme
20:06 Naibu Waziri aipa Tanesco Ubungo saa sita kushughulia tatizo la kukosekana kwa umeme
17:37 Taja tofauti kati ya Ku-run game ya muziki na ku-hit kwenye muziki
17:27 EL Mando ataja orodha ya wasanii watano waliowahi kui-run game ya Bongo Fleva, amtoa Alikiba
17:20 Orodha ya wasanii watano waliowahi kui-run/kuiendesha game ya muziki wa Bongo Fleva
15:53 Dianne Feinstein, Seneta aliyetumikia kwa muda mrefu afariki akiwa na miaka 90
14:11 Mwalimu Mtanzania aingia top 50 ya Global Teacher Prize 2023
13:19 Naibu Waziri wa Nishati Aipa Saa Mbili Tanesco Kurudisha Umeme
12:49 Rais wa Rwanda Amteua Jenerali Mshukiwa kuwa Waziri
12:29 Viwanda Zaidi ya 200 Kuonyesha Bidhaa Maonyesho ya TIMEXPO Dar
11:26 Mapya Yaibuka Vijana Waliopotea Kariakoo Siku 373 -Wazazi Wao Wafunguka Haya – “Rais Samia Tusaidie”- Video
10:53 Mchengerwa Awatangazia Kiama Wakurugenzi Watakaoshindwa Kutekeleza Mradi wa TACTIC
9:39 Simba Watamba Kufuzu Makundi Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Power Dynamos
9:26 Lulu Diva Amkataa Rich Mavoko – Afichua Kwa Nini Anachagua Andazi – “Ex Harudiwi” – Video
9:11 Kocha wa Yanga Atamba Kumaliza Kazi dhidi ya Al Merrikh ya Sudan
9:03 Sakata La Kupotea Kwa Warda – Mama Mkubwa Aangua Kilio Aomba Rais Samia Aingilie Kati – Video
8:19 Nina 5% za kupanda Ulingoni, epuka matapeli- Mwakinyo
3:30 Watu 6 wauwawa, 10 wajeruhiwa katika shambulizi Somalia
2:21 Habari Kubwa Za Magazeti Ya Tanzania Leo Ijumaa, Septemba 29, 2023
16:51 Nape; Tutumie mitandao ya kijamii kujiingizia kipato si kufanya umbea
15:44 Nyumbu SC yatoka sare na Polisi Tanzania mchezo wa kirafiki
8:25 Uganda Yawasimamisha Kazi Wafanyikazi 11 juu ya Vibali Bandia vya Sokwe
6:37 Madaktari wazawa waendelea kupandikizwa figo Muhimbili
6:12 Carabao Cup: Man United Yapangwa Kukipiga Na Newcastle United
6:08 Dk. Mpango kukutana na mashirika yasiyo ya Kiserikali takribani 9,000
5:50 Mkuu wa MINUSCA atembelea kikosi cha walina amani wa Tanzania Afrika ya Kati
5:19 Dkt. Biteko: Tutaleta Umeme Vijijini Hata Kama Wananchi Hawana Nyumba Nzuri
5:04 Yanga Yashtukia Mtego Wapinzani Wao Al Merrikh Ligi ya Mabingwa Afrika
5:02 Mbinu 5 za Kumbaini Mpenzi Mchepukaji
4:46 Simba Njia Nyeupe CAF Wachezaji Watatu wa Power Dynamos Kuukosa Mchezo
4:37 Jinsi ya Kumtambua Mwanaume wa Kukuoa!
4:22 Mwakinyo Abadilishiwa Mpinzani Kuzichapa Dhidi ya Mnamibia
4:15 Mkurugenzi Tanesco: Upungufu Wa Umeme Utamalizika Machi 2024 – Video
4:08 Dereva Bajaji Apotea Vingunguti Hofu Yaikumba Familia | Katambuga – Video
1:58 Habari Kubwa Za Magazeti Ya Tanzania Leo Alhamisi, Septemba 28, 2023
19:10 Wasanii waliopo Kings Music, Konde Gang, Next level hawatengenezi hela kupia muziki wao
19:06 Harmonize, Alikiba, Rayvanny na Nandy hawajafanya uwekezaji wa kutosha kwenye lebo zao
18:53 Lebo nyingi Tanzania zimewatelekeza wasanii wao
14:24 Muimbaji E Major aachia Jara (Video)
13:22 Mwakinyo abadilishiwa mpinzani wa pambano lake
11:00 Kocha Roberto Oliveira ‘Robertinho’ Aipeleka Simba Mafichoni
10:44 Tamwa: Rushwa ya ngono kikwazo wanahabari wanawake kushika nafasi za juu za uongozi
8:41 Moto Iraq: Maharusi Wote Wawili Wapoteza Maisha, Afisa wa afya Afunguka
8:32 Mbinu za Kumfanya Aamini Kama Kweli Unampenda kwa Vitendo
7:30 Baleke Anautaka Ufungaji Bora Ligi Kuu Bara msimu huu
7:07 #Exclusive: Aunty Ezekiel – “Wolper Ananipendana Sana – Siamini Mitandao Mpaka Nione Kwa Macho”- Video
5:52 Gamondi Aandaa Silaha mpya Yanga dhidi ya Al Merrikh Azam Complex, Dar
5:38 IRAQ: Moto Waua Watu 100 Kwenye Harusi, Bibi Harusi na Bwana Harusi Wadaiwa Kufariki – Video
5:19 Trump adaiwa kufanya udanganyifu wa kibiashara kwa miaka mingi
2:30 Habari Kubwa Za Magazeti Ya Tanzania Leo Jumanne, Septemba 27, 2023
1:20 Rais Samia: Tuna ‘Crisis’ Ya Umeme, Tunafanya Ukarabati Wa Mashine – Video
23:37 Rais Samia agundua Maharage ana biashara TTCL
23:34 Mkurugenzi Tanesco apewa miezi sita katikakati ya umeme
23:30 Tanzania, Marekani kushirikiana kuboresha mifumo ya usimamizi masuala ya afya
15:44 VIDEO: Infinix Zero 30 yatua TZ, Director Kenny anogewa
14:21 Simba Yatamba Kuwashangaza Power Dynamos Kutinga Hatua ya Makundi
12:00 Marekani imemkatalia waziri wa mambo ya nje wa Iran, kutembelea Washington
11:49 Staa wa TikTok akamatwa na Polisi kwa kudangaya Umma mlevamu
10:16 Tanzania nashika nafasi ya 9 kwenye mataifa yasiyokuwa na furaha duniani
9:52 Man United: Sancho Apigwa Marufuku Kutumia Mgahawa Wa Kikosi Cha Kwanza
9:40 Mjukuu wa Nelson Mandela, Zoleka Afariki Familia yake Yatangaza
9:13 Winga ashusha presha Simba Kurejea Uwanjani Baada ya Wiki Moja