🔴#LIVE: DARASA – JINSI YA KUBADILISHA WAZO KUWA BIASHARA | SHIGONGO & RODRICK

Jishindie Simu Janja (Smart Phone) kwa kutazama kipindi bora cha *DARASA LA SHIGONGO* kupitia Global TV Online, kinachorushwa kila siku, Jumatatu-Ijumaa *Saa10:00 hadi Saa11:00 jioni*. Cha kufanya ni rahisi;

Ingia Youtube Channel ya Global TV kisha, *Subscribe*, na *Bonyeza alama ya kengele 🔔* (Notification bell). Kipindi kinapokuwa hewani, ingia kwenye LIVE CHART kisha *comment* na uandike namba yako ya simu. Watu 100 wa kwanza wataingia kwenye droo ya kujishindia Simu kila wiki.

DARASA LA SHIGONGO NDIYO MPANGO
MZIMA, MJULISHE NA MWEZIYO, *BONYEZA LINK HII KU SUBSCRIBE*:https://bit.ly/2AyVIvEToa comment