Chama cha ACT Wazalendo kimemtea Dk. Mohamed Ali Suleiman kuwa mgombea wa uwakilishi wa jimbo la Mtambwe kwenye uchaguzi wa marudio unaotarajiwa kufanyika Oktoba 28, 2023.

Uchaguzi huo unatarajiwa kufanyika kufuatia kifo cha mwakilishi wa ACT Wazalendo Habib Ali Mohamed aliyefariki Marchi 3, 2023

Katika taarifa kwa umma iliyotolewa na Katibu wa Habari Uenezi, Mawasiliano na Umma wa chama hicho, Salim Bimani imeeleza uamuzi huo umefanywa na Kamati ya uongozi Taifa kwenye kikao chake cha Septemba 29, 2023.

Written by Janeth Jovin

Photo of Yasini Ngitu

Related Articles