Tanzania
This article was added by the user . TheWorldNews is not responsible for the content of the platform.

Chino ataweza kuleta ushindani kwenye lebo za muziki zilizopo??

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva ambaye pia ni densa #Chino Wana Man ameizungimzia ngoma yake mpya na #Stamina #Change Vibe. Chino amezungumzia sababu ya kumshirilisha Stamina kwenye ngoma hiyo.

Mbali na hilo Chino amesema kuwa ukishafanikiwa unaanza kupata usumbufu wa wanawake hata kama una sura mbaya kama Nyani.

Mbali na hilo Chino akiongea na wana habari ametangaza rasmi kuingia kwenye orodha ya wasanii wanaomiliki lebo, Chino ameongeza kuwa haijalishi lebo yake itahusu nini ila lengo lake ni kusaidia vijana wote wawe wanaimba au kuigiza na hata wapiga picha na madensa.