Jarida kubwa duniani linalotoa takwimu za Vitu mbalimbali duniani linalojulikana kwa jina la World of Statistics limetoa orodha ya mataifa 10 duniani yasikuwa na furaha (watu/raia wake hawana furaha)

Jarida hilo limeandika kuwa “World’s unhappiest countries” Kulingana na viashiria vya ripoti hiyo, Afghanistan na Lebanon zilizokumbwa na vita zimesalia kuwa mataifa mawili yenye furaha duni na wastani wa tathmini ya maisha ya raia mmoja mmoja.

Mbali na mataifa mawili kuwekwa kwenye orodha hiyo yakichangiwa na vita, mataifa mengine yametajwa kama ugumu wa maisha kwa raia mmoja mmoja na baadhi ya sababu ambazo zinawafaya watu wasiwe na furaha ikiwa pamoja na uhuru wa kujieleza kwa kila raia.

Tanzania ipo nafasi ya 9 duaniani huku nafasi ya 10 ikiwa ni Zambia.

1. Afghanistan  

2. Lebanon  

3. Sierra Leone  

4. Zimbabwe  

5. DR Congo  

6. Botswana  

7. Malawi  

8. Comoros  

9. Tanzania  

10. Zambia 

World's unhappiest countries:

1. Afghanistan 🇦🇫
2. Lebanon 🇱🇧
3. Sierra Leone 🇸🇱
4. Zimbabwe 🇿🇼
5. DR Congo 🇨🇩
6. Botswana 🇧🇼
7. Malawi 🇲🇼
8. Comoros 🇰🇲
9. Tanzania 🇹🇿
10. Zambia 🇿🇲
.
12. India 🇮🇳
17. Egypt 🇪🇬
20. Bangladesh 🇧🇩
30. Pakistan 🇵🇰
32. Turkey 🇹🇷
37. Iran…

— World of Statistics (@stats_feed) September 26, 2023

Huku mataifa 10 yenye furaha zaidi duniani aykitajwa ni

  1. Finland
  2. Denmark
  3. Iceland
  4. Israel
  5. Netherlands
  6. Sweden
  7. Norway
  8. Switzerland
  9. Luxembourg
  10. New Zealand
Photo of Ally Juma