Kupitia nkwenye kipindi chake cha RECAP & MANDO @el_mando_tz leo amezungumza na kuwataja wasanii ambao kwa maoni yake anaona ndio waliowahi ku-run/kuiendesha game ya muziki wa Bongo Fleva mpaka sasa.

@el_mando_tz anasema kuwa kuna tofauti kati ya Ku-hit kwennye game na Ku-run/kuendesha mfumo mzima wa muziki Tanzania, ametaja baadhi ya vigezo vya ku-run game.

Amesema kuwa wasanii watano tu ndio ambao wamewahi ku-run game ya muziki wa Bongo Fleva lakini wasanii wengi wame-hit kwenye muziki ila sio Ku-run game.

Baada ya kumsikiliza @el_mando_tz unakubaliana na list yake ya wasanii waliowahi ku-run game ya muziki wa Bongo Fleva?? unahisi ni msanii game amekosekana hapo kwenye ku-run game ya muziki??

Photo of Ally Juma

Related Articles