Staa wa Filamu za Kibongo pamoja na muziki, Lulu Diva amefunguka kwamba hajawahi kuwa na uhusiano wa kimapenzi na mkali wa Bongo Fleva, Rich Mavoco na kusisitiza kuwa wao ni washkaji tu.
Global Publishers and General Enterprises Limited is a registered private company dealing in publishing of weekly Swahili newspapers in Tanzania, namely; Uwazi, Ijumaa, Championi, Amani, Risasi & Ijumaa Wikienda.