Tanzania
This article was added by the user . TheWorldNews is not responsible for the content of the platform.

Mkurugenzi Tanesco: Upungufu Wa Umeme Utamalizika Machi 2024 – Video

Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), Mhandisi Gissima Nyamo-Hanga amesema “Tunatarajia hadi kufikia mwishoni mwa Machi 2024 tatizo hilo litakuwa limekwisha kwa kuwa tunatarajiwa tutakamilisha matengenezo yanayoendelea ya mitambo na Visima vinavyotoa gesi asilia.”

Ameongeza kuwa matarajio yao ni kuwa Bwawa la Mwalimu Nyerere lililofikia 92% ya ujenzi litakapoanza kuzalisha umeme matatizo ya umeme yatamaizika

Aidha, ameeleza ndani ya Mwezi Oktoba kunatarajiwa kuwa na unafuu wa upungufu wa umeme kutokana na mchakato wa kuharakisha matengenezo ya mitambo ya kuzalisha umeme na matengenezo ya Visima vya Gesi Asilia kwa kushirikiana na Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC)

spoti pesa below post

Global Publishers and General Enterprises Limited is a registered private company dealing in publishing of weekly Swahili newspapers in Tanzania, namely; Uwazi, Ijumaa, Championi, Amani, Risasi & Ijumaa Wikienda.