Kupitia kweye kipindi chake cha RECAP & MANDO @el_mando_tz amezungumza namna wasanii waliopo kwenye lebo wanavyopitia maisha magumu ya kimuziki ukilinganisha an wasanii wasiopo kwenye lebo za muziki.

Baada ya sakata la Ibraah na boss wake Harmonize @el_mando_tz leo ameamua kuzichambua akaunti zao za Youtube za wasanii waliopo kwenye lebo nne ambazo ni Konde Gang, Kings Music, Next Level nna The African Princes.

@el_mando_tz aasema ameamua kuzichunguza akaunti zao za Youtube na kuangalia namna wasaii hao wanavyotengeneza pesa kupitia muziki wao, huenda watu wanalaumu wasanii wengi kwenye lebo kupitia magumu lakini je wanaingiza pesa namna gani??

@el_mando_tz anasema kupitia akaunnti zao inaonyesha kabisa na kukupa picha kamili kuwa wasanii waliopo kwenye lebo hawatengenezio na kuziingizia lebo zao pesa.

Annasema sababu kuu ni mbili tu, moja wasanii wenyewe kutofanya muziki wenye ushindani lakini sabbau ya pili i wamiliki wa lebo zao kutowekeza vya kutosha kwenye lebo zao.

@el_mando_tz anasema kuwa kwa namna akaunti zao zilivyo ukisikia msanii hajalipwa atalalamika nini??

Photo of Ally Juma