Tanzania
This article was added by the user . TheWorldNews is not responsible for the content of the platform.

Man United: Sancho Apigwa Marufuku Kutumia Mgahawa Wa Kikosi Cha Kwanza

Marufuku hiyo inahusu pindi anapokuwa kwenye Viwanja vya Mazoezi vya Carrington, ikiwa ni mwendelezo wa adhabu kutokana na mgogoro wake na Kocha wa Manchester United, Erik ten Hag (ETH)

Tangu aondolewe kikosini, Jadon Sancho amekuwa akifanya mazoezi na kikosi cha Vijana ambapo hata wakati wa chakula hatakiwi kutumia Mgahawa unaotumiwa na Wachezaji kikosi cha kwanza bali atumie walipo vijana

Inadaiwa Sancho alikuwa na tabia ya kuchelewa Mazoezini mara kwa mara na alishindwa kufikia viwango vinavyohitajika na kocha wake, ili arejee kikosini Ten Hag amempa sharti la kuomba radhi jambo ambalo hajalitekeleza bado.

spoti pesa below post

Global Publishers and General Enterprises Limited is a registered private company dealing in publishing of weekly Swahili newspapers in Tanzania, namely; Uwazi, Ijumaa, Championi, Amani, Risasi & Ijumaa Wikienda.