BurudaniHabari

Kupitia nkwenye kipindi chake cha RECAP & MANDO @el_mando_tz leo ameorodhesha baadhi ya wasanii waliowahi ku-hit zaidi kwenye muziki wa Bongo Fleva.

Amemtaja Alikiba kuwa ndio msanii aliyehit zaidi ila hajafikia level za ku-run/kuiendesha game ya muziki wa Bongo Fleva.

Ametaja baadhi ya wasanii waliowahi ku-hit zaidi.

Taja orodha ya wasanii wako watano ambao unahisi wamewahi ku-hit lakini pia ambao wamewahi kui-run game ya Bongo Fleva.

Photo of Ally Juma

Related Articles