Tanzania
This article was added by the user . TheWorldNews is not responsible for the content of the platform.

“Utalindwa Usiogope Kutoa Ushahidi” – Waziri Pindi Chana Akizindua Miongozo…

Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana ametoa wito kwa watanzania kutoa taarifa na ushirikiano kwa vyombo husika pale wanapohitajika kutoa ushahidi wa tukio la uhalifu kwani sheria za kuwalinda na kuwajali zipo.

Waziri Pindi Chana amezungumza hayo alipokuwa anazindua Miongozo mitatu kutoka ofisi ya Taifa ya Mashtaka @ofisi_ya_taifa_ya_mashtaka_tz ambayo ni Kuwajali na Kuwalinda Mashahidi, Urejeshaji na Utaifishaji wa Mali zinazotokana na Uhalifu pamoja na Ushirikiano wa Kisheria katika Masuala ya Jinai.

spoti pesa below post

Global Publishers and General Enterprises Limited is a registered private company dealing in publishing of weekly Swahili newspapers in Tanzania, namely; Uwazi, Ijumaa, Championi, Amani, Risasi & Ijumaa Wikienda.