Tanzania
This article was added by the user . TheWorldNews is not responsible for the content of the platform.

Carabao Cup: Man United Yapangwa Kukipiga Na Newcastle United

Baada ya Newcastle United kufanikiwa kuiondosha Manchester City katika Raundi ya 3 ya CarabaoCup, Klabu hiyo imepangwa kucheza ugenini kwenye Uwanja wa Old Trafford dhidi ya Manchester United katika Raundi ya 4

Michezo ya Raundi hiyo inatarajiwa kuchezwa Oktoba 2023 katika tarehe zitakazopangwa ambapo ratiba kamili ya hatua hiyo iko kama ifuatavyo

Mansfield Vs Port Vale
Chelsea Vs Blackburn Rovers
Exeter City Vs Middlesbrough
Ipswich Town Vs Fulham
Man. United Vs Newcastle United
Bournemouth Vs Liverpool
West Ham Vs Arsenal
Everton Vs Burnley

spoti pesa below post

Global Publishers and General Enterprises Limited is a registered private company dealing in publishing of weekly Swahili newspapers in Tanzania, namely; Uwazi, Ijumaa, Championi, Amani, Risasi & Ijumaa Wikienda.