Tanzania
This article was added by the user . TheWorldNews is not responsible for the content of the platform.

Mwakinyo abadilishiwa mpinzani wa pambano lake

Bondia Hassan Mwakinyo amesema kuwa amebadilishiwa mpinzani kwenye pambano lake la Septemba 29 huku akitoa sababu ya kutokea kwa jambo hilo.

”Napenda kuwataarfu mashabiki zangu ya kua kumetokea mabadiliko kidogo juu ya kubadilishiwa mpinzani na hii ni baada ya bondia okwiri kurusha chupi…. na hii ni baada ya kuchomoa game Binafsi sijardhishwa na mabadilko haya lakini ni bora kugawa chakula kilicho kwisha andaliwa kuliko kutupa…natumai washabiki zangu ni waungwana na kwa pamoja mtaelewa mabadilko haya.”- Hassan Mwakinyo

Mwakinyo sasa atapigana na Julius Indongo raia wa Namibia tarehe hiyo 29 Disemba 2023.