Tanzania
This article was added by the user . TheWorldNews is not responsible for the content of the platform.

Dereva Bajaji Apotea Vingunguti Hofu Yaikumba Familia | Katambuga – Video

Baba mzazi wa Mohammed Rashid (23) amefanya mahojiano na Global Tv katika kipindi cha Katambuga na kueleza namna kijana wake alivyopotea akiwa na rafiki yake katika kituo chake cha kazi Mnyamani Jijini Dar es Salaam Septemba 9, 2023.

Baba anaendelea kuiambia Global Tv kuwa Dereva mwenzake alimwita amsindikize kumpeleka abiria Vingunguti Machinjioni na baada ya Mohammed kuona ni usiku sana akaamua kumchukua na rafiki ake Hassan Ramadhani ili amsindikize na ndiyo ulikuwa mwisho wa kuwaona.
Baba anawaomba watanzania wamsaidie kupatikana kwa vijana hawa kwani bado wana ndoto katika maisha yao lakini pia ndiyo Taifa la kesho.

spoti pesa below post

Global Publishers and General Enterprises Limited is a registered private company dealing in publishing of weekly Swahili newspapers in Tanzania, namely; Uwazi, Ijumaa, Championi, Amani, Risasi & Ijumaa Wikienda.