@aslayisihaka wakati anaongea na wana habari amezungumza kuhusu kauli ya @harmonize_tz ya kumuita King wa Kizazi kipya. @aslayisihaka amesema kuwa ni kweli kuna King wengi kwenye muziki huu lakini hata yeye ni miongoni mwa Wafalme wa muziki huu.

Moja ya kumbukumbu ambayo imemfanya @aslayisihaka acheke sana ni baada ya kukumbushwa na mmoja ya waandishi wa habari kuwa

Kauli ya @aslayisihaka ya kwanza aliahidi kuwa endapo atatoboa kimuziki basi atamnunulia mama yake mzazi Mchele.

Alipoulizwa kwanini alitaja mchele akasema kwa sababu alikuwa anapenda sana kula wali na hata nyumbani kwao walikuwa wanapendelea kupika wali.Aslay anasema kwenye Show yake Tarehe 30 pale Warehouse atasindikizwa na wakali kama @harmonize_tz @officialnandy na wengine.

Lakini atatumbuiza ngoma 100 ndani ya dakika 100 live band.

Photo of Ally Juma

Related Articles