Ronaldo amesema kuwa yeye na Messi sio marafiki bali ni watu waliyofanya kazi pamoja huku akidai kuwa na sasa wawili hao kila mmoja amefuata njia yake.

“Amefuata njia yake kama mimi nilivyofuata yangu. Bila ya kujali kama tunacheza nje ya Ulaya, mambo yake yanakwenda vizuri kwa vile nionavyo, na mimi pia nafanya mabo yangu vizuri. Tumekuwa sehemu moja kwa miaka 15. Sisemi sisi ni marafiki lakini tumefanyakazi pamoja na tunaheshimiana.”- Ronaldo

“Mabao 850 ni mafanikio ya kihistoria. Ilikuwa ni mshangao kwangu, sikuwahi kufikiria kuwa ningeweza kuyafikia. Lakini nataka zaidi, nataka kuwa kileleni, kufikiria makubwa. Nataka kuwashukuru wale walionisaidia, klabu zote nilizocheza na timu ya taifa,”

Photo of Hamza Fumo