Akiwa na magoli tisa (9) kwenye michezo saba kwenye Ligi Kuu ya Saudi league, Cristiano Ronaldo amesema kuwa hana mpango wa kustaafu soka ataendelea kuupiga mpaka pale miguu yake itakaposema inatosha.

Ronaldo ambaye juzi amefunga magoli mawili kwenye ushindi wa 4-3 dhidi ya Al Ahli bado anaonekana yupo fiti katika kutupia mabao.

Mwaka uliyopita Ronaldo amekuwa nafasi ya pili kwenye kufunga akiwa na bao 34 nyuma Erling Haaland mwenye 36.

Licha ya kuwa na miaka 38 lakini Cristiano Ronaldo anaongoza kwa magoli msimu huu Saudia.

Photo of Hamza Fumo