Raia wa Marekani Yaki Lee (45) maarufu kama Yaki Khalid Juma amehukumiwa kifungo cha mwaka mmoja jela au kulipa faini ya Sh. 500,000 baadaa ya kupatikana na hatia katika makosa manne likiwemo la kujipatia kitambulisho cha Taifa (Nida).

Lee amehukumiwa leo Septemba 25,2023 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu na Hakimu Mkazi Mkuu Evodia Kyaruzi mara baada ya mshtakiwa huyo kukiri kutenda makosa hayo.

Akitoa hukumu hiyo, Hakimu Kyaruzi ameamuru mshtakiwa huyo mbali na adhabu hiyo, arudishwe nchini kwao.

Wriitten by Janeth Jovin

Photo of Yasini Ngitu

Related Articles