Tanzania
This article was added by the user . TheWorldNews is not responsible for the content of the platform.

Rais Samia Apokea Hati za Utambulisho wa Mabalozi Ikulu Jijini Dar

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Balozi wa Rwanda hapa nchini Mheshimiwa Fatou Hererimana mara baada ya kuwasilisha Hati zake za Utambulisho, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 25 Septemba, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, amepokea Hati ya utambulisho kutoka kwa Balozi mteule wa Rwanda, Ujerumani, Balozi wa Umoja wa Ulaya, Norway Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 25 Septemba, 2023.

Rais Samia akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Rwanda hapa nchini Mheshimiwa Fatou Hererimana Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 25 Septemba, 2023.
Rais Samia akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Ujerumani hapa nchini Mheshimiwa Thomas Terstegen, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 25 Septemba, 2023.
Rais Samia akiwa kwenye mazungumzo na Balozi wa Ujerumani hapa nchini Thomas Terstegen, mara baada ya kuwasilisha Hati zake za Utambulisho, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 25 Septemba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Umoja wa Ulaya hapa nchini Mheshimiwa Christine Grau Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 25 Septemba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Balozi wa Umoja wa Ulaya hapa nchini Mheshimiwa Christine Grau, mara baada ya kuwasilisha Hati zake za Utambulisho, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 25 Septemba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Norway hapa nchini Mhe. Tone Tines Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 25 Septemba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Balozi wa Norway hapa nchini Mheshimiwa Tone Tines mara baada ya kuwasilisha Hati zake za Utambulisho, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 25 Septemba, 2023.

spoti pesa below post

Global Publishers and General Enterprises Limited is a registered private company dealing in publishing of weekly Swahili newspapers in Tanzania, namely; Uwazi, Ijumaa, Championi, Amani, Risasi & Ijumaa Wikienda.