Kupitia kwenye kipindi chake cha RECAP & MANDO @el_mando_tz amelizungumzia tukio ambalo lilifayika Bagamoyo kwenye Birthday ya Tine White ambaye ni akka yake na Rich Mavoko.

@el_mando_tz anasema kuwa moja ya jambo la kufurahia kwenye soko la muziki wa Bongo Fleva ni kumuona staa wa Bongo Fleva Rich Mavoko akifanya show kwennye birthday ya kaka yake akiwa na furaha zote.

Anaongeza kuwa moja ya kitu ambacho kimemrudisha Rich Mavoko kwenye ramani ya muziki tena ni Show za Chaka Tu Chaka ambazo zinzsimamiwa na Mkojai na Tine White.

Mkojani na Tine White washukuruwe sana kupitia show zao kwani mashabiki wamefurahi kumuona msanii wao pendwa akifanya show tena na kujipatia kipato.

Huu i mwannzo na tunatarajia kumuona Mavoko kwenye show nyingi zaidi.

Photo of Ally Juma